Mkurugenzi wa Uwezeshaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) Dkt. Joyce Chonjo (mwenye suti) pamoja na watumishi wa Baraza hilo wakifurahia ushindi wa kuibuka mshindi wa jumla kwa washiriki wa Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijijni Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba akipata maelezo ya jinsi ya kutengeneza vikapu kutoka kwa mjasiriamali wa Mbeya Bamboo Women Group, Magreth Zakaria (Kulia) alipotembelea banda la Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) jana katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijijni Dar es Salaam, ( katikati) Mkurugenzi wa Uwezeshaji (NEEC) Dkt. Joyce Chonjo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...