Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2012

    Video haisadifu ujumbe.WHY? hawa watoto aliowatumia wanaonekana ni wa mitaani hivyo wanakosa fursa ya elimu na mwendelezo wa vipaji vyao. Je tutegemee nini wakikua kama siyo kuwa vibaka? Alipaswa kutumia watu wazima kuonesha kuwa mafanikio yanawezekana hasa kupitia vipaji na elimu aliyonayo mutu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2012

    Mfalme wa R&B; NICE TRACK AS USUAL BEN POL.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2012

    poa ile mbaya hizi ndo nyimbo zinazo stahili kupewa tunzo siyo za zile za kusifu utumbu utumbo wa ngono

    big up man mungu akubariki daima umenishuza na kunikosha nafsi yangu siku ya leo na najisikia fresha ile mbaya japo kuwa sina kitu mfukoni mchana huu

    New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...