Meneja wa huduma kwa wateja wa benki ya NMB tawi la Same ,
Bi  Anna Efrem (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa wanafunzi wa shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same,kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB  Financial Fitness uliozinduliwa na benki hiyo kwa watoto wilayani humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...