Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Scania nchini Tanzania, Mark Cameron(kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa dereva, ErasmusMtui ambaye ni mshindi wa mwaka 2011nchini Tanzani anayekwenda kwenye mashindano ya Dunia ya Bingwa wa Mabingwa yanayotarajiwa kufanyika Afrika Kusini.Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofisi za Scania Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mary MtuiJuly 31, 2012

    Ohh God in the Heaven guide this person so that he can do well on his competition. He is such a nice and kind person. All the best!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2012

    Huyu bwana apel;ekwe training la sivyo hawezi kabisa kushindana kimataifa, udereva siyo tu kuendesha gari na kuliongoza barabarani, kuna vitu vingi vya displine na ufundi amabavyo ni lazima vizingatiwe. Je huyu bwana anaweza kutumia winchi kupandisha mzigo? Je mzigo ukikaa vibaya naweza kuuweka katikakati vizuri kwa kutumia winchi na ujuzi wake? Namtakia heri lakini pia apewe mafunzo ya ziada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...