MAKAMU wa Pii wa Rais wa Zanzibar, Bozi Sef Ali Idd (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk.Ramadhan Dau aliyefka ofisini kwake Vuga kumpa pole kwa ajali ya Meli ya Mv.Skagit iliyotokea wiki iliyopita karibu na Kisiwa cha Chumbe.(Picha na Haroub Hussein).
Home
Unlabelled
Dk, Ramadhani Dau atoa pole kwa ajali ya meli ya MV skagit
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
sasa leo DG hakuna kanzu na baraghashia?
ReplyDeletehongera kwa kutoa milioni 10 kwenda kwa wahanga wa ajali
NSSF ni wakati sasa wa kuwekeza kwenye usafiri wa majini DSM - Unguja- Pemba kwani wanachamana wenu ni wahanga wa ajali hizi.
ReplyDeleteKwani wewe hapo juu kanzu yake inakuuma nini? kakuzidi kwa mengi sio mavazi tu? kalagabaho/
ReplyDelete