Engineer Deusdedit Malulu akiwa na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, kwa pamoja wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumeremeta katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Mavurunza, Kimara, jijini Dar es salaam.

Engineer Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga nae ndoa takatifu jana.


Familia ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris Kasaka Malulu na Engineer Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana jioni.

Maharusi kwa nyuso za furaha wakipiga picha na Mtoto wao.


Engineer Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha ishara ya umoja na mapendo.
Meza kuu ya Familia ya Engineer Deusdedit Malulu

Meza kuu ya Wazazi wa Doris Kasaka.

Engineer Deusdedit Malulu na Doris Kasaka walifunga ndoa takatifu katika kanisa la Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara jana Tarehe 30/06/2012 na baadae kwenye Sherehe ya nguvu iliyofanyka katika ukumbi wa Luxery Mbezi Mwisho.

Bwana harusi ni Mfanyakazi wa Shirika la ugavi wa Umeme (TANESCO) Makao Makuu na Bi Harusi ni mwajiriwa wa Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ZANTEL Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...