Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Bw Hijob Shenkalwah akionyesha kwa Furaha Ngao ya MSHINDI WA KWANZA Katika kutekeleza sheria ya Manunuzi ya Umma mwaka 2010/2011 iliyotolewa Baada ya Halmashauri hiyo kutangazwa na Kukabidhiwa na Waziri Mkuu katika Sherehe za kitaifa za siku ya Serikali za Mitaa PICHA NA ABDULAZIZ VIDEO-LINDI
Home
Unlabelled
HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDI YASHIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA KUTEKELEZA SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...