1: Bungalow located at Mtoni Kijichi with title deed price USD 300,000/=
2: House at Kijitonyama near Science price at TZS 350 million.
Talk straight to owner no middle men, serious buyers only call 0713 32 77 13
2: House at Kijitonyama near Science price at TZS 350 million.
Talk straight to owner no middle men, serious buyers only call 0713 32 77 13
milioni 350 ndogo sana hiyo nyumba lazima itakuwa ya kimasikini kwakweli sijaipenda
ReplyDeletenitafutieni nyumba ya milioni 3500 elfu tatu na mia tano milioni.
Hii bei huwa mnazitoa wapi? Nani anazipanga? Maana naona watu huwa wanabandika tu manamba na ukienda kuona hizo nyumba zinazotangazwa ni vituko vitupu. Watanzania tuwe serious!!!!
ReplyDeleteah hiyo bei mbona ndogo sana ukilinganisha nchi yetu ina mafisadi wengi sana wanaoweza kununua zaidi ya bei hiyo hebu ongeza kidogo mdau
ReplyDeleteIs a house costing that much in mtoni kijichi!!!!!!! what kind of a bugalow is that. Can ou show it to us. Since when has mtoni Kijichi become prime area. Msituingize mkenge.
ReplyDeleteWatanzania, tuwe na muamko wa kutambua wajibu wetu wa kulipa kodi! Bei ya hizo nyumba zinatakiwa zilipiwe kodi ya VAT ya asilimia 18 zinapouzwa. Kwa hiyo bei zilizotajwa zitakuwa haijajumuisha na kodi ya VAT. Kodi ya VAT italipwa na mnunuzi. Aidha muuzaji atatakiwa alipe kodi ya Mapato ya asilimia 15 kutokana na FAIDA atakayopata.
ReplyDeleteMtoni kijichi cost that much you can have it.
ReplyDeleteAnny. wa 10.34 umenena! sijui bei hizi wanazitoa wapi! na sijui kama TRA wanafuatilia UFISADI huu! Nchi urafikiri haina Mamlaka za kufuatilia mambo haya!
ReplyDeleteHeheh! Mchangiaji wa kwanza anacheza tuu humu ndani, anajifunza ku post. Kajichanganya mpaka kwenye hesabu maskini.
ReplyDeleteAnataka nyumba iuzwe Bilioni 3.5!
Almost 2.2m dollars!
Definitely playing.
Mdau Wa pili kuna vitengo vinatambulika na Serikali wanakuja kutathmini bei ya nyumba, wakizingatia eneo, ukubwa wa kiwanja na ukubwa wa nyumba then wanatoa thamani. Mwenye nyumba unaanzia hapo, kwa sababu in biashara lazima unapandisha. Maeneo ya sayansi hizo ndio thamani za nyumba wala hapajakosewa kitu in basi tu humu wamejaa wajuaji.
ReplyDeleteMtoni kijichi IS a prime area, uliza utaambiwa au nenda kaangalie
ReplyDelete