
Well, my name is Monica Joseph, a Tanzanian woman with an all-encompassing experience in all aspects of Taxation, accounting, auditing and financial management.
A MSc. Finance degree holder from the University of Strathclyde, and, of course, a Social media aficionado. I look forward to the happiest and knowledgeable blogging safari ever, with stops at all issues as mentioned above.
JOIN ME & LETS DO IT…CLICK HERE
Sawa Finance Directress,
ReplyDeleteTupo pamoja nawewe isipokuwa kwa haraka haraka naona muelekeo wako unaelekea kwenye Chama cha Siasa cha Kanda ya Kaskazini....hukoooo Uchaggani!
Au ndio uwekezaji wako kifedha ulipo huko?
Jaman mpaka useme una Msc in Finance..ha ha ha..kwani hiyo inahusika kwenye kublog?nimekaa nje miaka 20 but suala la kiwango cha elimu ni la mtu binafsi kama ilivyo kwenye suala la pesa...utakuta mtu ana Phd hata tatu but hajiiti hata dokta..wa-tz wenzangu hebu tuache huu ulimbukeni wa kusema sijui nina digrii mbili sijui tatu so what?maana hizo digrii zingekuwa na maana sana kama mngekuwa mmeweza kuisaidia nchi kutoka kwenye umaskini...tunasoma kuelimika na kuitumia elimu sio kuwa na vyeti vya kujitangaza!!
ReplyDeleteWee una matatizo. Sasa uache kuangalia kazi anayofanya uende kwenye hilo la elimu? We kwani kukaa ulaya miaka 20 ndio nini? Ni kigezo cha kufanya tukuamini unachosema? Na ni blog gani hizo unazotembelea? Naomba tujifunze kusupport wenzetu na kuwa positive jamani. Tutoe maoni ya kukosoa kwa kujenga sio kubomoa. Samahani kama nitakukwaza lakini hii comment yako haileti maana
DeleteWe hapo juu una yako. sasa kwa mfano utamuamini vipi akikwambia ukanunue share DSE kampuni fulani zinafaa kuliko za kampuni nyingine? kumbuka anaweka mambo ya kuelimisha na articles. Binafsi ningeuliza kwa utaalamu gani alionao? hiyo Msc ikanishawishi. Blog zote zenye articles aina hii authors wameandika ujuzi wao wamepata wapi. hii sio ya habari tu na za mapicha yenu mliyozoea. hongera sana binti. na hayo madongo yatarajie mengi tu. Tumeumbwa hivo. Mi ni follower wako kuanzia sasa! Asante Michuzi kwa taarifa hii.
ReplyDeleteThis is very good. At last i see a serious blog on Finance. I am doing my thesis and i have copied everything from the her Tanzania Economy Page. I love her work! keep it up!
ReplyDeleteWewe Unaesema Kajitangaza vyeti kwa haraka haraka kutokana na maandishi yako hii blog haikufai. tuachie tunaohitaji hizi habari za maana. shukrani michuzi. Hongera Monica classmate na mwalimu wangu IFM, alinifaa sana kwenye masomo ya Accounts. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. she is very smart.wanaomfahamu au kusoma nae mtanielewa
ReplyDeletehongera dada kwa kujitahidi kuanzisha blog ya namna hii, nakutakia mafanikio..but a word of advice to you and the rest who run blogs similar to yours. Tunataka kuona kwenye hizi blogs taarifa ambazo umezifanyia kazi mwenyewe, kama ni article tunataka kuona article ulizoziandika kutokana na mtazamo wako binafsi (mf. picha anazopiga ankal ni kazi yake mwenyewe kwa silimia 98), hiki ndicho kinachofanya watu wengi kuikubali kazi ya michuzi, there's no point in having a blog that just aggregates information (esp. articles) from other sites/ blogs and posting them on your blog, i'd rather visit the original site and get the information first-hand. In short we want originality. Blogs nyingi za kitanzania ambazo huwa wanasema wanapost kuhusu expert subjects utakuta ni artcles zimekopiwa na kupestiwa kama zilivyo kutoka mitandao kama newsweek, times, harvard business review and the like, sio mbaya kufanya hivyo kama utatambua source ya hizo information ila utakuta blogs nyingine zinapost article imeicopiwa kutoka other sources kama ilivyo na kueditiwa hapa na pale (mfano kuweka mifano ya kitanzania zaidi) na kujifanya its their article, thats plagiarism to me n very lame. Ni mtazamo tu. Naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteMonica achana na mambo ya mjini kumbe unawaza mawazo mazuri keep it up. Achana na kutoka kwenye mablog ya kidaku
ReplyDeletewe njoo tukuoe sisi hapa.
ReplyDeleteDada Monica mimi nimependa IDEA yako na nimekutembelea tayari, lakini nimeshindwa kusoma, nakushauri urekebishe suala la rangi (background colour inameza maandishi). Ili nasi wenye macho ya kubip tuweze kunufuaika na blog yako. KEEP IT UP
ReplyDeleteNi mweli kabisa hizo copy paste, lakini mimi huyu dada hata kama anafanya hivo nimeelimika na vingi. Issue ya city service levy nimejifunzia hapo. Na niko kwenye facebook page yake. Aisee kila swali kuhusu mambo ya Kodi na biashara tanzania nilijibiwa na nikaridhika. Hongera sana.
ReplyDeleteMambo Monica, thats for this good move. Yaani mimi Lipstick tu ndiyo imeniacha hoi!!!
ReplyDeleteJamani Biashara Matangazo, she is new into business she is not like those company with Big Names, she need to build up and bring confidence that she can do, advertising is one of the best selling Ideas and Delivery on implemantation will apply. Myself, attending me, you need to create confidence that you can do,which i can c on her qualification.IQ explain and differentiate people.Big up Monica and wish u to make changes in Tz for the coming year if is not years. Wanawake Tunaweza
ReplyDeleteMonica Thanks kwa kazi ya Finance!
ReplyDeleteNinaona pana umuhimu mkubwa ukapewa hata Access to the trading floor ktk DSE.
Pia ktk Financial institutions zingine ili upate data na kutushushia nondoz!
dada ungetuweka na tafsiri yake kiswahili, uomombo sio wote sisi watanzania tunaelewa , kuna wajasiriamali wengi hawajui kiingereza kama sikosei
ReplyDeleteMonica Big up, this is where you belong, I like your hairdo
ReplyDelete