Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt. Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana baada ya kufanya mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Mhemishimiwa Kikwete:
ReplyDeleteKama bado kuna nafasi za wabunge wa viti maalum mteue ili taifa linufaike na experience yake. She is a great asset Mr. President!
Raisi: Unataka nafasi gani sasa?
ReplyDeleteMigiro: Mhe. Naomba uniache nimpuzike kwanza, tupime upepo wa 2015.
Raisi: Haya sawa, kwaheri.
Migiro: Asante sana, mhe Raisi kazi njema. Bye.
NIMEPENDA SANA HII NUKUU YA MDAU WA 06.27.00.AM 2012
ReplyDelete