Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza Bw.  Kitwana Makame Haji, mmoja wa majeruhi walionusurika katika ajali ya meli waliolazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja mjini Unguja jioni hii.
 Rais Jakaya Kikwete akimpa pole Bi Salome Abeli, mfanyakazi wa Tanzania Automic Energy Commission jijini Arusha, aliyekuwa njiani kuelekea Pemba kikazi kabla ya kupatwa na ajali hiyo ya meli. Amesema hali yake inaendelea vyema hapo katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita mbele ya miili ya waliokufa katika ajali hiyo ya meli jana karibu na kisiwa cha Chumbe. Hapa ni uwanja wa Maisara ambako miili huletwa kwa kutambuliwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2012

    inna lillahi waina ilahim rajiun

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2012

    Why lakini???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2012

    WAZO LANGU KWA SERIKALI KUTUMIA JESHI LA MAJINI KUOKOA AJALI ZA MELI NAAMINI TUNA JESHO LA WANAMAJI DAR ESALAAM NA ZANZIBAR KWA NINI WASIWE WAKIFANYA WOKOZI.

    KIPEPEO TOURS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...