Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO, ZANZIBAR
--
Jeshi la Polisi nchini, limetangaza orodha ya majina ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Skagit, iliyotokea juzi katika eneo la Chumbe Kisiwani Zanzibar.

Licha ya kutaja majina hayo, idadi ya miili ambayo hadi jana imepatikana kutokana na kazi kubwa ya uokoaji inayofanywa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama, imefikia watu 63. Kati ya watu hao, waliopatikana na idadi kwenye mabano ni pamoja na wanawake (41), wanaume (9) na watoto (12), ambapo kati yao wakiume ni (5) na wa kike (7).

Msemaji wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Muhina, alitaja baadhi ya majina ya marehemu waliotambuliwa kuwa ni:

  1. Mwanahamisi Mshauri Maneno (42, Kibanda Maiti, Zanzibar)
  2. Maua Ramadhan Feruzi (29, Mwembeladu)
  3. Khadija Omari Ally (58), Kilimahewa)
  4. Khadija Omar Ali (26)
  5. Mgeni Juma Khalifa (25, Daraja Bovu)
  6. Amina Ahmed Ramadhan (21, Bumbi Matola, Michenzani)
  7. Khadija Othuman Juma (50, Michenzani)
  8. Mohammed Said Salum (42, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam)
  9. Khadija Rajab Kibune (22, Fuoni)
  10. Hussein Ally Khamis (miaka 4, Mwanakwerekwe)
  11. Nas Victor Kadozo (30 Mbagala Rangi Tatu, Dar es Salaam)
  12. Anita Emanuel (42, Kibamba, Dar es Salaam)
  13. Rukiya Issa Muombwa (miezi 2, Meli Nne Fuoni)
  14. Halima Ali Khamis (23, Mtopepo)
  15. Kolin Krispin (miezi 9, Kunduchi, Dar es Salaam) 
  16. Rahma Ali Abdallah (52, Mfenesini, Zanzibar)
  17. Said Jumanne Masanja (9, Nzega, Tabora)
  18. Sauda Abdallah Omar (22, Ole, Pemba)
  19. Said Juma Said (36, Arusha)
  20. Amina Abdallah Tindwa, (miezi 6, Fuoni)
  21. Halima Ramadhani Kilimo, (53, Morogoro)
  22. Amina Hamir Bakari (39, Chukwani)
  23. Ali Hamdu Othman (35, Mkwajuni) 
  24. Sabiha Heri Mbarouk (25, Mgeleme, Chakechake Pemba)
  25. Halima Ali Mohamed (35, Kiwengwa)
  26. Asia Juma Khamis (29, Kiembe Samaki)
  27. Yusuf Hassan Yusuf (7, Chamazi, Dar es Salaam)
  28. Batuli Abdulrahman Amir (20, Jang’ombe)
  29. Fatma Said Sultani (54, Msasani Dar es Salaam)
  30. Juma Jafari Shajak (miezi 6, Tanga)
  31. Mohamed Ali Ng'ombe (41, Buguruni, Dar es Salaam)
  32. Halima Ali Khamis (23, Mtopepo)
  33. Husna Ally Khamis (34, Bagamoyo)
  34. Kulthum Haji Khamis (25, Bagamoyo)
  35. Sichana Pandu SImai (43, Kilimahewa)
  36. Nadra Maulid Mkubwa (17, Chubuni)
  37. Mwanaidi Abdallah Ramadhani (21, Morogoro)
  38. Zubeda Jumanne Kwangaya (26, Mbeya)
  39. Idd Masoud Omar (miezi 7, Tomondo)
  40. Riziki Mohammed Iddi (25, Fuoni)
  41. Mwanaisha Khamis Haji (75, Jang'ombe)
  42. Laki Victor Kadoro (28, Mbagala)
  43. Damas Leo Mrima (54, Shangani)
  44. Halima Sharif Abdallah (21, Kigamboni)
  45. Ali Juma Ali (56, Jang'ombe)
  46. Raya Ramadhani Hasani (miezi 2, Shakani)
  47. Mwanaisha Omar Juma (, Bunju)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2012

    Majina yote hayo ni waislamu kuna majina matatu tu ndio wakristo sasa leo hii hatanganyika hamtaki zanzibar ijitawale kiisalamu

    watanganyika mnaichukia sana zanzibar na wanaokufa kila siku ni wazanzibar tu leo hii mtatuambia nini faida ya muungano?

    wazanzibar ni waislamu na waacheni na nchi yao na dini yao acheni kujihusisha zanzibar ni ya waislamu full stop
    makanisa ya kupandikizwa kuchafua tamaduni na uaminifu wa wenye nchi yao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2012

    Asante blog ya jamii kwa taarifa.Tumepoteza nguvu kazi kweli,vijana wengi sana;watoto,10s,20s,30s,40s.Poleni sana wafiwa na mliouguswa kwa namna moja au nyingine.

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2012

    Ww mdau Wa hapo juu Acha udini, nchi ya Tz haina dini. Tz sio Islamic country wala Christian country. Ww unataka kuleta machafuko nchini, badala ya kutafuta hela ya kula na familia yako. Potea mbali na udini, sisi ni watz.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2012

    wanachekelea hawa watu kwa sisi kupoteza maisha ndo lengo lao na michuzi weka hii comment kwa sababu kuna siku watanganyika wa kiislamu nao watadia uhuru wao sijui mkuu wewe utakuwa katika orodha gani la kundi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2012

    huyo mtoa maoni wa kwanza kabisa hapo juu hoja zako hizo zimeitwa na wakati....watu wapo msibani ndugu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...