Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha,Marson Mwakyoma akiongea na baadhi ya madereva wa pikipiki waliofuata pikipiki zao kituoni hapo ambazo zimekamatwa na Jeshi la Polisi kwa Makosa mbali mbali Jijini humo(picha na woinde shizza,Arusha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2012

    Hivi nani huwa ana-design sare za hawa askari wetu,sare ni nzuri na kwa huyo jamaa aliyevaa coat kubwa juu ya shati nahisi kama lingekuwa na rangi tofauti angependeza zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2012

    Mijitu ya Arusha bana! afande anaongea yeye anaonesha ishara ya peoplesssss power!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...