Home
Unlabelled
kibonzo cha KP leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shigongo huwezi kuingiza masuala hayo na watanzania wapatao millioni arobani kwa maslahi yako na kampuni yako. Nimeshangaa sana mumemuachia Jose wakati walikuja mpaka bongo si mngefuata haki zote na kumtia ndani na ukweli ungejulikana tu. Sasa inaniuma sana mzee Shigongo kwa nini usiweke mambo wazi toka mwanzo ? umekaa kimya mpaka pale Jose alipoona aende Ubalozin ndo mshituke? Kiukweli ulitakiwa uwe wazi toka mwanzo na kizuri zaidi wewe ni mzee wa media ungefanya hivyo. Lazima tuwe wakweli toka mwanzo na tusiwe wakweli katikakti ya safari yaaani baada ya mtu kulalamika nawe ndo wasema. Waswahili wanasema haki ya mtu haiwezi kupotea na kama kweli Jose ndio mtindo wake basi hawezi kufika mbali. Poleni sana kwa matukio yaliyojitokeza maana nia ilikuwa kusaidia watoto wa kike. Lakini Jamani pia tutangazieni kuwa mlipata shillingi ngapi kwenye tamasha hilo. Aksante Viva
ReplyDeleteHapa umechanganya mada mchangiaji wa mwanzo, hili sio suala la shigongo ni suala la mifuko ya hifadhi ya akiba ya uzeeni ya jamii. Mimi nilitaka kusema kuwa sikubaliani na suala la kusubiri muda wa miaka 55 ndio nidai changu. mimi nasota na kazi ngumu nimeacha au kuachishwa kazi, watu wengine waendelee kufanyia biashara pesa zangu mimi niteseke. Kufodge vyeti vya kuzaliwa haiwezekani maana wanaangalia ulipoingia uanachama kwenye mfuko ulikuwa na umri gani. cha msingi hapa ni kuingia barabarani kama hawaelewi
ReplyDeleteWatanzania bwana, wavivu kufikiria. Sasa wakati sheria inatungwa mlikuwa wapi?? Wakati Bunge linakutana na kujadli hii hoja mbona hamkuwaambia wabunge wenu kuwa msipigie kura ya ndio huu muswada?
ReplyDeleteThis is retirement plan, yaani plani baada ya kustaafu. Sasa nyie mnataka kuchukua hela hela sasa hivi wakati bado unafanya kazi? Angalieni Ulaya hata Marekani kama mtu anaweza toa hela zake kabla hajastaafu. Tuwe tunatafakari mambo kwanza na kufuatilia sheria zinapotungwa. Wakati miswada inasomwa Bungeni kila mtu yupo bize na mipasho ooh chama hiki au kile wakati issues ni za kitaifa na zinaadhiri watu wote. Matokeo yake ndio haya sasa, sheria imepita hakuna alijejua sasa mnaanza kuonja joto ya jiwe mnalalamika nini??
Duhhh adhabu!
ReplyDeleteYaani mafao yangu naacha kazi kwa Mhindi nikiwa kijana mbichi chini ya miaka 35 (baada ya kufanya kazi kwa miaka 10) napewa hela yangu nikifikia umri wa kikongwe wa zaidi ya miaka 50?
Ama kweli Mifuko ya Akiba imetutega!
wenzetu wanapata na gratuatity na zinawasaidia hadi wapate ajira nyingine, wengine wana mkataba wa mwaka mmoja then usubiri hadi miezi 6 then wakupe mkataba mwingine, na wakati huo utakuwa unachangia au? na watahesabu una ajira au? kama wanajali wazee ni bora waangalie wazee wetu vijijini na hao ambao hawana ajira. wazee wanaotoka kwenye ajira ni asilimia ngapi ya wazee tanzania? serikali inajua kuna wazee wangapi na wana maisha gani? ni bora kuingia barabarani
ReplyDeleteTatizo si kuchukua ela lini ...ni usalama wa ela zetu ambazo zinatumiwa kujengea vitega uchumi uchwala na ku finance miradi ya serikali. Wasiwasi ni kuwa baada ya kusaafu hii mifuko itakuwa ingali hai. Hivyo ukiongea mdau usiongelee mambo ya Ulaya sijuhi US ambako upuuzi wa kuchezea ela za mifuko hakuna.
ReplyDeleteWewe Sat Jul 28, 03:45:00 PM 2012 Basi mngefuatilia wakati sheria inatungwa na kupitishwa. Mlikuwa wapi hadi sasa ndio imekuwa sheria mnaanza kulalamika???? Kama tatizo si kuchukua hela sasa muongeee kuweza kubadilisha sheria ili hela zetu zisitumike kwenye kujenga vitega uchumi.
ReplyDelete