Home
Unlabelled
kuna mdau katuletea hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio suala la kupenda, ukisubiri nafasi ya kuingia kupitia malangoni hupati!
ReplyDeleteTabia ZINAZIDI KUWA MBAYA HATA KWA MTU AKIGONGA AKIULIZWA NANI MWENZANGU MTU ANAJIBU MIMI AU MIE BADALA YA JINA LAKE AKIGONGA HAJAJIBIWA NA WENYENYUMBA BASI ATAZUNGUKA HATA UWANI KAMA KWAKE VILE UKIONA HUJAJIBIWA HATA KAMA UNAUHAKIKA WATU WAPO FIKIRIA USTAARABU HUJUI WANALAO LIPI, WA-TANZANIA TUNAPENDA KULAZIMISHIA MAMBO TUVUTE SUBIRA. MZ
ReplyDeleteHata Dodoma,Jamatini ikifika mida ya saa moja jioni,hali inakuwa ni mbaya sana,magari ya kwenda kisasa,Ipagala,Area D,na Kikuyu ni kasheshe kubwa.
ReplyDeleteMbagala ni hadi huko kwenye mabasi ya Mikanda myekundu?
ReplyDeleteWatu Ohhh Mbagala shida ya usafiri kakwambieni nani?
Hata Oysterbay na Masaki pana shida ya usafiri kama utaenda kwa kutumia Daladala!
Mlisha jaribu kutokea Posta Mpya Dar Es Salaam kwenda kwa kutumia Daladala Oysterbay au Masaki asubuhi kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 3?
Jaribuni muone kazi!
ni mkoa gani jambo hili linatokea muungwana ukiletewa kitu basi fafanua ni wapi kitu hiki kinatendeka
ReplyDeletePumbafu kama hawa dawa yao viboko tuu.
ReplyDeleteHalafu ndiyo mnasema eti bongo tambarare, sasa hii ndiyo tambarare gani.
Wachache waliosoma na kuwa ana college diploma wanaweza kufanya hivyo.
ReplyDelete