Jumuiya ya watanzania wa Boston wanaomba radhi kwa kubadili taratibu za mazishi ya ndugu yetu Patrin Kibelloh kutokana na uchunguzi wa kidaktari unaoendelea. 
Taarifa ya maziko tutawaajuulisheni tutakapoupata mwili wa marehemu  basi Kukiwa na mabadiliko yoyote tutafahamishana inshaallah! Tuwiyane radhi na tunaomba uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwetu sote. Kwa mkono wapole tumia: 

Bank of America
Halima Omary Yussuf 

Routing #011000138 

 account# 004638984578. 
Samahani kwa usumbufu wowote ule utakao tokea


-UONGOZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2012

    Bila samahani. Inaeleweka sister.

    ReplyDelete
  2. It is normal for the Coroner to hold a body to determine a cause of death. A death certificate cannot be written until then.

    Rest in eternal peace dear Patrin. This is very sad news.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...