Napenda kuwasilisha mabadiliko ya blog yetu,sasa tumebadili address kutoka www.tanzaniaachievers. blogspot.com kwenda
Hii ni kutokana na hatua ya sisi kwenda kwenye kiwanda cha magazine na kuanzisha magazine yetu ambayo tunatarajia hard copy ya kwanza kutoka November 30 mwaka huu lakini kwa sasa ni online magazine.We real try hard to makes life of Tanzania better and better by starting business magazine in swahili language.
Tunaomba kama rafiki wetu kwa ushirikiano wa kibiashara tusaidie kuweka mabadiliko haya ambapo sasa blog title ni ACHIEVERS MAGAZINE na site adress
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...