Hii ni katika kijiji cha Kisawasawa,Wilayani Kilombero mkoani Morogoro kama ilivyonaswa na kamera man wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    Sasa thamani ya Ungo na mjengo, bei na gharama za kuusimika ungo 'dishi' ni zaidi ya nyumba!

    1.Nyumba thamani yake Tshs.200,000/=
    2.Dishi thamani yake Tshs.500,000/=

    Hivi ni akili kweli hiyo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    Hivi kwa fikra za haraka haraka mtu kuwa ndani ya mjengo kama huo pana raha ya kubeba rimoti na kuangalia mfano Ligi ya UEFA ?

    Badala ya kutumia muda kutafakari jinsi ya kuchomoka kwenye Ukabwela wa kiwango hicho?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2012

    Information is power!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2012

    Jamani msimlaumu/kumcheka. Huyo bwana kaamua kula kitu roho yake napenda. Raha jipe mwenyewe.

    ReplyDelete
  5. Hii Inadhihirisha tosha jinsi Watanzania wengi wetu wasivyo na vipaumbele!Hata katika ngazi ya Viongozi kuweka vipaombele kwa maendeleo ya Nchi ni mtihani mkubwa na mgumu sana. Mikakati yetu haitekelezeki na inapotekelezwa kwa asilimia finyu haileti tija. Mfano MKUKUTA, MKURABITA, VISION 2025, nk nk..... Ni upofu wa kuona Mbali Wengi hasa viongozi wetu huona mbele ya pua zao tuuuu basi!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2012

    jamani hiyo anatumia unikia mpunga,mahindi nani kwaaambia ni satelite dish

    ReplyDelete
  7. Huyu ndugu haishi humo.Hicho nikitega uchumi chake, watu usiku wanajazana humo kuangalia mpira wa M.united kiingilio shillingi 200. yeye bangaloo lake liko pembeni safiii. Wewe unayesema ni kabwela, wewe ndiyo kabwela usiyejua ujasiliamali. Huyu jamaa baada ya mwaka hilo holi atalikarabati vizurii yaani safi,na itakuwa kama huko ulikokimbilia UK. Bongo ni peponi, Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2012

    Halafu huo ungo wa laki tano umenunua lini? Mikoani sehemu nyingi wananunua madishi na hayajafika laki tano sijui siku 2 mbili hizi kuelekea digital lakin kabla ya hapo Dish, receiver na waya mita 20 Mtwara ulikuwa laki mbili, Songea laki na themanini Dar ilikuwa chini ya hapo. Kupanga ni kuchagua ndio maana wengi mijini tunamagari tunaishi kwenye nyumba za kupanga.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 28, 2012

    zebedayo msema kweli nakuunga mkona na miguu yangu yote ndugu yangu umesema kweli kabisa watu wa namna hii wanajidai walala hoi na kama hamnazo kumbe hawataki watu wajue mambo yao na kibosile kiyama huyu mtu na mshishangae majasili mali huyu cheki ungo ulivyo wa kiasili hana makuuu kaanei huko huko UK mkiramba jua na snow

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...