Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(siasa)Dr Julius Rotich(kulia)akiwa na Mkufunzi wa Mafunzo kwa wapigapicha kutoka nchi wanachama wa EAC,Hartmut Fiebig, kutoka Ujerumani kwenye mafunzo yaliyofadhiliwa na German International Development mjini Arusha.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(siasa)Dr Julius Rotich(wa pili kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa wa Mawasiliano wa EAC,Richard Owora(kushoto)Kaimu Mkuu wa EAC-GIZ nchini na Mkufunzi wa Mafunzo kwa wapigapicha kutoka nchi wanachama wa EAC,Hartmut Fiebig na baadhi ya wapigapicha ambao nao waliendelea kupiga picha kwenye mafunzo yaliyofadhiliwa na German International Development(GIZ) mjini Arusha leo
Mkufunzi wa mafunzo kwa wapigapicha kutoka nchi wanachama wa Afrika Mashariki(EAC)Hartmut Fiebig akitoa somo leo kwenye hoteli ya East Africa mjini Arusha.
Kichwa cha habari mpaka sasa (hadi hapo utakapokirekebisha) kinaashiria kuwa ili upige picha Arusha unahitaji mafunzo maalum.
ReplyDelete