Home
Unlabelled
Magufuli kaiona hii??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zebedayo. Mara nyingi huko nchi za Ulaya na Uarabuni, catapillar kama hili hubebwa kwenye tela , lakini kwa vile kiwango chetu cha lami kiko juu!! basi hakuna shida. Kwani wewe uliyeleta hii picha ,umeona limetoboa toboa barabara ?? Hapo mwenzio anawahi kazini, hizo taili za minyororo usiogope, angalia kiwango cha lami zetu. Bongo ni peponi na kila kitu kinawezekana. Zebedayo,msema kweli.
ReplyDeletenakubaliana na wewe lami yetu ya hapa bongo iko imara ...hii sio lami ya LONDON .....ila ajabu wale wa uk leo wamekaa kimya sana hawasemi kitu wao au hii sio LONDON ....MAANA KILA KIZURI KWAO NI LONDON TU......hahahahahah
ReplyDeletehiyo barabara inatengenezwa, na hiyo lami inaondolewa mdau! Pandisha hapo Kibo utaona kinachoendelea.
ReplyDeleteBarabara ipo kwenye matengenezo wanakwangua lami yote jana walikuwa kuanzia Kibo mpaka Bucha hivyo usishangae fuatilia ujue undani wake
ReplyDeleteYes..hii barabara iko kwenye major reform kwa ajili ya kuaccomodate Rapid Transit Traffic, kwa hiyo lami yote hiyo itaondolewa na kuwekwa kwenye mfumo mpya, kwa hiyo sio hatari hilo caterpillar kupita coz lami yote hiyo itatolewa....
ReplyDeleteKatumwa na Magufuli a-test ubora wa rami!!!
ReplyDeleteSasa yeye afanye nini? Polisi wapo mbona hukuenda kuripoti ili hatua zichukuliwe? Acha tuchape kazi wewe, mbona kuna mengi ya kuyasemea au huyaoni?
ReplyDeleteTatizo la wa TZ hukimbilia kwenye lawama kabla ya kufanza uchunguzi, haya sasa wadau wamekutoa nduki. Siku zote hayo madubwashona yanabebwa huku Tz. hata kwenye barabara za vumbi. Fanya uchunguzi ndo uanze kuandamana sio unapoteza muda wa kupiga mijipicha ili Magufuli achukue hatua......itasaidia nini na ishaharibika!
ReplyDeletekama unalalamika kupita kwenye hiyo barabara,waambie waunde tume kwanini linapita kwenye hiyo barabara
ReplyDeleteUlitaka ipite hewani?
ReplyDelete