Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe akitunukiwa Uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande.
Baadhi ya Majaji wakifuatilia hafla ya kuwatunuku Mawakili wapya wa Serikali leo.
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Angela Bahati Salema akiwa na familia yake mara baada ya kutunukiwa Uwakili leo
Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hiyo.
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Mapitio) Angela Bahati Salema akisalimiana na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju mara baada ya kutunukiwa uwakili wa Serikali na Jaji Mkuu Othaman Chande
Jaji Mkuu Othman Chande akiwa na watunukiwa wa Uwakili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2012

    I am so proud of Angela Bahati, GO JANGWANI GIRLS!!!!!!

    classmate Jangwani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...