Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akisalimiana na kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi yao ya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake wa kesho dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar katika mashindano ya kombe la Kagame jijini Dar es salaam.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi yao ya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake wa kesho dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar katika mashindano ya kombe la Kagame jijini Dar es salaam.
Nahodha wa timu ya Simba,Juma Kaseja (pili kulia) akifafanua jambo kwa Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager,George Kavishe wakati alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi jijini Dar es salaam leo.
Wachezaji wa Simba SC wakimsikiliza George Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni mdhamini mkuu wa klabu hiyo alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...