Mkurugenzi wa Tanzania One Thetre (TOT) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi, Mh. John Komba akizungumzia hali ya afya yake, alipowaita waandishi wa habari, nyumbani kwake, Mbezi Tangi Bovu,jijini Dar es Salaam, leo baada ya kurejea nchini kutokea India alikokuwepo kwa matibabu. Kushoto ni Mkewe, Salome Andrew Komba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Che GuevaraJuly 27, 2012

    Captain, au ni mzimu wa Kanumba?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    watanzania tukishakua na hela ya nyama choma na bia mbili, mitumbo hiyoooo, sio afya hii jamani.ni kukaribisha Heart diseases, kisukari, kideny failures, colon cancer you name it....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2012

    Ndio maana hospitali zetu walalahoi hazina vifaa wala dawa..kila kisiki(sio kigogo tena)anaenda kutibiwa huko.. nasi wananchi tunahitaji matibabu bora kama nyie visiki..arghh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2012

    Sio Ze Fulanazzz ya Ankali hiyo?

    ReplyDelete
  5. wewe hapo juu, acha zako za kuchonga, kwani nyama choma na bia 2 kuna kosa gani ?? nyie huko UK mkifanya BBQ aaa!! sisi hatuoni noma, sisi tukichoma kanyama ketu kosa.Kingine tumbo siyo ugonjwa hasa matumbo yetu ya bongo ambayo yamejaa misuri,siyo kama ya kwenu huko ya mavitu vitamu kuanzia asubuhi mpaka saa sita za usiku,chocolate, ice cream,desert yaani you name it. Hayo matumbo ndiyo hayatakiwi maana yamejaa sukari na kuifanya mishipa ya damu kuziba .Usijifanye daktari kumbe una beba box.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2012

    Ze Fulanazzz ya Ankali haiwezi kumtosha komba. Mwili kabati si umechecki mwenyewe?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2012

    hahahaha umenifurahisah wewe uliyesema fulana na ankalaaa jmnii zinatokaga nyingi na yeye ni 1 wao alionunua kuhusu vifaa mahospitali haviwezi kuwepo kamweee maana wahusika wakuu wanatibiwa nje ya nchi na wkt wangekuwa wanatibiwa humu basi tungepata kila kitu

    meggie impostra

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2012

    hivi kumbe ana mke?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2012

    Sishangai huyu jamaa kuugua. Alikuwa amenenepeana mpaka anatembea na bakora mbili. Huwezi kuwa na mwili kama ule halafu usiwe na matatizo ya kiafya,

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 27, 2012

    DUH! Kwanza hii FULANAZZZZ!! nilistuka sana nilifikiria fulanazzz ya Ankal Michuzi,kumbe siyo ! kwanza hata kama Ankal angeuza Fulanazzz Komba isingemtosha!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 27, 2012

    Sasa hii Fulanazz ! ya Ankal huyu kaipataje ? harafu inaelekea kaiongezea vipande hili imtoshe

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 27, 2012

    DUH! Kwanza hii FULANAZZZZ!! nilistuka sana nilifikiria fulanazzz ya Ankal Michuzi,kumbe siyo ! kwanza hata kama Ankal angeuza Fulanazzz Komba isingemtosha!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 27, 2012

    Hakuna upasuaji wowote walioufanya India mbona Tumbo(Pakacha) bado kubwa

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 27, 2012

    AH ! wewe ! Komba vipi? umekalia kiti cha mtoto mdogo ! ndio kusema kule India wamekucha sehem za chini tu na tumbo wamesahau ?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 27, 2012

    we masikini jeuri zebedayo, ujinga ndio unatuua hamna kitambi chenye misuli we msukuma..unafikiri kwa sababu unakula ugali kilo mbili na kitambi kigumu kama umekula cement ndio afya...fungua macho au na wewe utakufa kabla hujafika miaka 50...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 28, 2012

    Tunakuombea afya na uzima mh.Komba. Nakumbuka nyimbo zako za uzalendo wakati nilivyokuwa teenager mpaka leo nikikumbuka chozi lanidondoka. Mungu atakulinda,mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 28, 2012

    Naona kama amepungua vile..,watakuwa wamemfanyia operation kuondoa mafuta tumboni. Lol.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 28, 2012

    Jamaa noma, mpaka kakalia viti viwili kwa pamoja, (pink na bluu). Angethubutu kukalia kimoja angeokotwaje!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 29, 2012

    yaani Komba kakalia kiti cha mtoto kweli wamempunguza maeneo ya chini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...