Mkuu wa kituo cha utafiti wa zao la kahawa(Takri)wilayani mbinga Godbless akumuonesha mkuu mpya wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Senyi Ngaga kushoto,mti wa kahawa ya vikonyo inayozalishwa na wataalamu wa kituo hicho
Mkuu wa kituo cha utafiti wa zao la kahawa Takri wilayani mbinga Godbless Shayo aliyeinama akimuonesha mkuu wa wilaya hiyo Senyi Ngaga namna ya uoteshaji wa kahawa ya vikonyo katika vitalu.
Mkuu wa wilaya ya mbinga mkoani Ruvuma Senyi Ngaga, katikati akiangalia mche wa kahawa ya vikonyo inayozalishwa katika kituo cha utafiti wa zao ilo cha ugano wilayani humo jana,kushoto no mkuu wa kituo hicho Godbless Shayo na kulia katibu tawala wa wilaya Idd Mponda.Picha na Muhidin Amri,RUVUMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...