Wanahabari Orton Kiishweko wa Daily News na Benny Mwaipaja wa TBC  wakimhoji  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi jijini London, Uingereza, kabla ya kuanza kwa mkutano wa kimataifa wa Uzazi wa Mpango. . Mpiganaji Orton ni mmoja wa wanahabari vijana wanaokuja juu kwa kasi hapa nchini, akiwa tayari ameshajitwalia tuzo kadhaa ikiwemo ya mwandishi bora wa mwaka 2011
Mwanahabari mahiri wa TBC mpiganaji Benny Mwaipaja akimhoji Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi jijini London, Uingereza,  kabla ya mkutano wa kimataifa wa Uzazi wa Mpango. Mpiganaji Mwaipaja ni mmoja wa wanahabari nguli wanaofanya vyema katika tasnia hii akiwa katika kituo chake cha kazi mkoani Manyara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2012

    Pigeni mzigo taifa linawategemea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...