Kwa masikitiko makubwa tunawatangazia kifo cha Mama yetu Ositha Jaka (pichani) wa Forest Hill- Morogoro, kilichotokea nyumbani Morogoro jioni ya Jumatatu ya tarehe 02/07/2012.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Forest Hill- Morogoro, na Mazishi yanatarajiwa kufanyika Morogoro siku ya Alhamisi tarehe 05.07.2012.
Kwa taarifa zaidi za msiba unaweza kuwasiliana na Kizito Jaka () Paschal Kunambi (+255 713 233843 begin_of_the_skype_highlighting +255 713 233843 end_of_the_skype_highlighting) au Expelius Kunambi ()
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...