Ankal ,
Muziki wetu wa ki-Kitanzania unapanda sana chati ya muziki kimataifa kama huku jijini Lima, Peru, bara la Marekani ya Kusini kama hii clip ya video ya Saida Karoli:
Mdau wa Peru.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uchezaji wao,unaniacha hoi
ReplyDeleteSafi mnooooooooooo!
ReplyDeleteI see wameicheza vizuri kabisa kama kule kwetu.
ReplyDeleteMbongo wa Peru hongera sana kwa kututangaza mpaka huko, wewe si sawa na hawa jamaa zetu wa M. united wao ni kuponda tu kila kitu, jamani tuweni na mioyo ya uzalendo. Kingine , msipende kukimbilia kule walikojenga wenzenu maana hata wao huko walianza chini kama sisi na wakavumilia shida na njaa, mlichokifanya nyie ni kwenda kula jasho la wengine. Sasa sisi huku bongo tunapajenga taratibu na wala hatukimbii. Ni mimi Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteCheza video lakini toa sauti. Ni ajabu sana endapo watu wangekuwa wanacheza muziki bila muziki kuwepo.
ReplyDeletehaaa haaaa daaaa asante uloweka hii clip umeniondolea stresss ya leo make wanaimba na kuimba na kuchenkula kabisa haaa haaa. Inabdi saida aione hii safiii sana inapendeza. baadhi ya watu waliokaa majuu hata kusikiliza nyimbo za bongo hawataki ila angalia wenzetu wanafurahia
ReplyDelete