Tulieni niwape Somo Vijana!!!! Naibu Spika Mhe. Job Ndugai, akitoa Somo kuhusu Masuala ya Kibunge kwa waandishi wa Habari Bungeni leo mara baada ya kuarishwa kwa kikao cha Bunge Mchana. kutoka Kushoto na vyombo vyao ni Manyerere Jackton (Jamhuri), Matiko (Mpiga picha wa Kujitegemea) Deudatus Mushi( Raia Mwema), Cosmas Hinju (Uhuru), Stan Likomawagi (Radio mwangaza), Omar Fungo (Nipashe) na Rodgers Luhwago (Guardian). Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Home
Unlabelled
Naibu Spika, Job Ndugai akiwapa somo waandishi Bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...