Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera, wakishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye, mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Waombolezaji wakiswalia mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Nape akitoa salam za Chama kwenye msiba wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.Wengine kutoka wa pili kulia ni mdogo wa marehemu, Bashir Kikolo na Mkt wa CCM Moro, Injinia Petro Kingu.
Mazishi ya marehemu Alhaji Shaweji, katika makaburi ya Funga Funga, Wami, Dakawa, Mvomelo mkoani Morogoro.
Kaim Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda akieleza wasifu wa marehemu, Alhaji Abdallah Shaweji wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...