Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe(kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Joram Biswaro(Katikati) wakati wa kikao maalimu cha nchi za Maziwa Makuu kilichofanyika sambamba na Mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa Ethiopia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan Omar Hassan el Bashir wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea jijini Addis Ababa Ethiopia. |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wanchi za Afrika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Hawa viongozi wa Afrika wanavaa suti za gharama gharama wakati asimilia kubwa ya wanaowangoza wanatembea uchi au madabwada.
ReplyDeleteMtoto wa Kabwela,Sweden.
JK omba mwongozo kuhusu vurugu zilizoko Mali,AU imekaa kimya sana..lakini kuwa makini usije kutolewa nje ya Ukumbi!
ReplyDeleteDavid V
We unasema nini?Mali kunatuhusu nini sisi wabongo?Tuliyonayo hatuyawezi halafu tutafute mengine,kuna fukara akatoa sadaka?Mm napinga any initiative yakupeleka msaada wa namna yyt Mali na Somalia kwani huko nikuingiza nchi kny mgogoro na jamaa ambao wanaitingisha USA na dunia kwa ujumla ALQAEDA.
ReplyDeleteMdau wa kwanza unalalamika nini kuhusu viongozi kuvaa suti kali. Ingekuwa wewe ungeacha kuvaa vizuri wakati mshahara unaruhusu? Acha ushamba. Hatuwezi kuwa sawa hata siku moja.
ReplyDeletenilijua hutoweka comment yangu kila nikibeza anayekufadhili kununua hii camera yako canon sawa michuzi endelea hivyo hivyo lakini ujue tumeshachoka na vi tiripi vya mafisadi wenzako kwenda nje kila siku kwa kula kodi za wananchi pamoja na wewe unadhani hatulijui hilo kila kitu kina mwisho wake pondeni maisha lakini kaa mkijua ramadhan inakuja muumbeni sana mungu akusameheni maovu vyenu
ReplyDeletena hii pia usiweke