Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na viongozi wengi ne waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi mjini Bujumbura leo. Kutoka kushoto ni Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Teodoro Nguema wa Equatorial Guinea,Mwenyeji Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe na Rais Mwai  Kibaki wa Kenya
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini  Bujumbura leo.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Picha na Mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...