Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa akimtambulisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya wamekuwa wakiichangia fedha nyingi hospitali hiyo.
 Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni.
Rais Barosso na wageni wenzie wakipata muhtasari wa shughuli za hospitali ya CCBRT. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2012

    As a nation tutakaa mpaka lini kwa kusaudiwa?Us there no brains or ideas by oUr leaders to get out of this shame?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2012

    fungate hakuna au ndoa imeahirishwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...