Stephano na Achotto wakiingia ukumbini uliopo Maryland, Nchini Marekani siku ya sherehe yao ya Pre Wedding.
Stephano na Achotto wakiwa wamesimama baada ya kuingia ukumbini.


Stephano na Achotto wakiwa wamependeza wakiwa meza kuu.
Stephano na Achotto wakiwa meza kuu na wapambe wao.
Achotto akimlisha keki Stephano
Stephano akimlisha keki Achotto
Achotto akilisha keki familia ya Stephano
Stephano akilisha keki familia ya Achotto
Wahudumu wa kimataifa waliosaidia kugawa vinywaji
Juu na chini ni Familia ya Achotto
Ndugu wa Stephano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2012

    Samahani kuuliza si ujinga/ushamba."Pre-wedding" ni sherehe ya namna gani?,ni sawa na "send-off" au?? tunaweza kuilinganisha na nini huku kwetu Africa,hususan Tanzania?.Hope muda si mrefu itaingia bongo hii.Kwa kumalizia nawatakia kila la heri 'maharusi',keep well.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2012

    safi sana mungu akuzidisheie maisha marefu na yawe na upendo zaidi na zaidi ktk pingu zenu yaaan mmependeza mno.........!

    mdau ugiriki

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2012

    Hii ikiingia bongo itapukutisha mifuko ya watu tu bora isije manake harusi yenyewe tu huwa ni ishu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2012

    Pre-Wedding huku kwetu ni Send Off yaani sherehe kabla ya harusi sasa naona huko wapo tofauti na kwetu. Labda mtu anayejua zaidi atujuze

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2012

    PRE WEDDING,bwana David v kama ulivyo uliza swali lako kuhusu pre wedding,ukweli pre wedding inatokana na mazingira ambayo watu wanaishi,hususan stephano na Achotto wameishi hapa America kwa takriban karne moja na bado wataendelea kuwa hapa USA,ila harusi yao itafanyika Tanzania sept 2012 sasa kwa kuwa wameishi na watu wengi hapa kwa muda mrefu na sio kila mtu wanaefahamiana nae hapaataweza kwenda na kushiriki harusi yao Tanzania ndio maana kumekua na PRE wedding.Ila tofauti watu wa mataifa mengine kama wakenya PRE WEDDING kwao huwa ni harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya harusi,wenyewe nchi jirani huwa wanasema ukienda hapo lazma urudi na mifuko mitupu.

    mdau washington

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2012

    Huyo mhudumu wa kushoto si Elia? Alisoma Ilboru na baadae IFM? Siku hizi huko USA ni mhudumu wa kimataifa? Labada kwa vile ni Mtz ktk USA basi ana-qualify kuitwa "international"

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2012

    HONGERENI JAMANI MMEPENDEZA SANA, SIJUI SIKU NA NDOA/HARUSI ITAKUWAJE. KWA MTOA MAONI WA KWANZA,PRE-WEDDING TZ ZIPO, NI SHEREHE YA AWALI YA WANAOKUSUDIA KUFUNDA NDOA MUDA SI MREFU. NI KAMA TAARIFA KWA NDUGU,MARAFIKI, NK. SENDOFF NI YA BIBI HARUSI MTARAJIWA ANAPOAGWA NA WAZAZI/FAMILIA/MARAFIKI WOTE, HAPA UPANDE WA BWANA HARUSI MTARAJIWA WANAALIKWA TU. KWA NYONGEZA TU .. BIBI HARUSI (WATARAJIWA)WANAKAA UPANDE WA KUSHOTO WA BWANA HARUSI.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2012

    Kiongozi juzi we chatted on Facebook nakuuliza uko wapi wanijibu US kumbe umeenda beba?

    Congrats!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 16, 2012

    mjumbe hapo juu unafahamu kwamba karne ni miaka 100? kama ndivyo hivyo, ni kweli Achoto na Stephano wameishi Marekani miaka yote hiyo? Tufahamishe umri wao au ulimaanisha decade ambayo ni miaka 10?

    by the way, hongereni maharusi.

    Ignorant

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 16, 2012

    MMh, bi harusi nguo imekubana...duuh manyama mwangu mwangu mgogongoni.
    Hongera
    Najua utabana ankali kama kawaida yako

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 16, 2012

    Mdau KARNE moja?unajua karene ni muda gani ww?Wacha hizo bwana km hujui kiswahili rudi bongo ukajifunze,karene moja ni mika 100.Labda useme muongo mmoja ambayo ni miaka10.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 16, 2012

    hao wahudumu ni wa kujitolea siyo kwamba ndiyo kazi yao

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 16, 2012

    Kwa kumsaidia mdau wa jul 16 05:13.00pm ametuambia kuwa Wana harusi watarajiwa kuwa wamekaa U.S.A takribani karne moja. mmmhhh ninavyojua mimi karne ni miaka 100 au ulitaka kusema kuwa wamekaa mlongo mmoja ambapo mlongo ni sawa sawa na miaka 10 ?. au nimekosea mimi?.
    mdau katika kufahamishana.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 17, 2012

    Nina hakika hawa maharusi ni above 40...Wanaonekana wameshakula chumvi nyingi

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 17, 2012

    Toeni maoni yenu wosia wenu kwa maharusi sio kukusoana lugha hapa. Wanaonekana wa karne moja hawa sasa?? Humuoni bibi arusi alivyokuwa na sifa ya Kiafrika yaani "mwanamke shurti kujaza babu wee aka..." Nyie semeni tu wao washapendana.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 17, 2012

    MBONA SIWAONI THE WAZUNGUS HAPO, VIPI MAHUSIANO IS EQUAL TO ZERO, MAANA WAAFRICA NDIO KIBAO, CHANGAMANA NA WENZENU JAMANI, MUISHI KWA UPENDO, MKIWAPENDA WATAJUMUIKA NA NYIE, DU

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 17, 2012

    Hee, Didi, uhudumu wa kimataifa tena!?

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 17, 2012

    WOTE MMEONGEA VYEMA NAWAPONGEZA, HII NI KATIKA KUELIMISHANA PIA KUJIFUNZA MAMBO TUSIYOYAJUA. LAKINI HII FASHENI MPYA YA DADA/MAMA ZETU YA KUVAA NGUO NA KWA MAKUSUDI MAZIMA KUACHA MAUNGO YAO WAZIIII HASA SEHEMU ZA KIFUANI (MATITI)NA MAPAJANI KWELI MNAONA MNAPENDEZA? KATIKA SHEREHE KAMA HII WANAHUDHURIA WATU WA RIKA TOFAUTI, YAANI KUNA MABABU NA MABIBI, WAZAZI, WATOTO NA WAJUKUU, WAKWE KWA KUKUZALIA MUME NA WALE KUKUOLEA WANAO, SASA YOTE HAYO YAONWEEEEEE? JAMANI KABLA YA KUNUNUA/KUSHONA NGUO JIANGALIE ULIVYO JIULIZE NI TASWIRA GANI UNATOA KWA WANAOKUANGALIA. TUSIVAE TU KWA VILE KIINGIACHO MJINI SI HARAMU. TUNANYIMANA RAHA YA KUKAA KATIKA SHUGHULI TUONAPO MAMA MKWE MATITI NJE. NI MAWAZO YANGU POLENI KAMA NIMEWAUMIZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...