.jpg)
Tunapenda kuwajulisha wateja wote wa nje na ndani ya Tanzania kua Ebenezer Hair Food, Ebenezer Shampoo, Ebenezer Conditioner na Ebenezer 2 in 1 Shampoo Conditioner vyote vimeshasajiliwa na Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA).
Tunaahidi kuendelea kuthamini nywele zetu, nywele za Mwafrika kwa kuendelea kukuwezesha kuzipa lishe na matunzo yanayotakiwa.
Usisite kutumia Ebenezer Hair Food kwa nywele zako. Kwa waliopo USA unaweza kununua online at
Kwa waliopo Tanzania jipatie Ebenezer Hair Food toka ARISE Beauty Supply @0714311283.
Asanteni na karibuni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...