Afisa Sheria wa Tume Mercy Mruru akiwasilisha mada mbele ya washiriki wa mkutano ambao ni wawakilishi kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali, viongozi wa dini, wazee, watendaji wa serikali na walimu wakuu wa shule za sekondari wilaya ya Kigoma
Katibu Tawala wa Wilaya Bw. Moses Msuluzya akitoa ufafanuzi wakati maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria walipokuwa wakitoa elimu ya sheria kwa umma mkoani Kigoma.
Washiriki wa mkutano huo wakiwa makini kufuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Baadhi ya Wazee na Viongozi wa dini wakiwa makini kufuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa na maafisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Washiriki wa mkutano huo wakiwa makini kufuatilia mada. Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Munir Shemweta


Posho
ReplyDelete