Taswira hii nimeipata katika kijiji cha Narunyu Wilaya ya Lindi mjini watoto hawa wamebuni mchezo wa pool wa aina yake,walikuwa wakicheza nyuma ya nyumba yao.utaona ni kwa jinsi gani ubunifu unavyohitajika kwa maisha ya leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2012

    Inamaana lindi bado wako nyuma sana kimaendeleo, maana sisi wenzao tumeshapita kwenye nyumba za miti na kuezeka nyasi, Ok! wajitahidi basi watukute wenzao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 03, 2012

      Wewe nyumba za miti hata hapa dar zipo cio lindi pekee, kwa jumla tanzania wote bado tukonyuma xana

      Delete
  2. AnonymousJuly 02, 2012

    kwanza wafanye ubunifu wa kujenga nyumba bora kwa kutumia raslimali zao kama miti na nyasi, sio ubunifu wa kupoteza muda

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2012

    Huu ndiyo uzuri wa bongo jamani, hakuna cha nani care wala nani care ,bongo tumezoea kujitegemea,do or die. Basi tu wazungu wametuletea haya ma TV ndiyo maana unaona siku hizi tunaandamana na migomo haiishi,shauri ya kuwaiga nyie huko mliko. Angalia kono la huyo mtoto hapo,na hapo kanywa uji tu wa ukwaju,akikuachia ngumi, wewe unayekula Mcdonald,kizunguzungu lazima utakiona, hajui kuandamana wala kuisubili serikali impe (food stamp) kuponi ya kula bure, eti mmeendelea ,kumbe uzembe mtupu. Bongo ni peponi. ni mimi Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2012

    That's the spirit needed!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2012

    wakasome waache kupoteza muda... kama wanabuni basi waangalie preference of scale.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...