Wadau sita ambao ni Watanzania waliolamba nondozzz zao kutoka chuo kikuu cha NORTHEAST NORMAL UNIVERSITY, nchini China wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata Shahada yao ya Uzamili.Hafla hiyo imefanyika jana Chuoani hapo.
wadau wakiwa na furahaaaa baada ya kupata nondozz  zao.
Wadau waliokula nondoz katika Chuo Kikuu cha NORTHEAST NORMAL UNIVERSITY wakiwa katika picha ya pamoja na wanazuoni wenzao kutoka sehema mbalimbali za dunia katika jukwaaa kuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Rajab,M.R. KassimJuly 02, 2012

    Hope mko juuuuu sasa, Mungu awajaalie Mtumie Elimu Mloipata vyema na iwe na manufaa kwenu, familia zenu, nchi yenu na Wanaadamu wote kwa ujumla. Awaepushe na GONJWA sugu la UFISADI...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2012

    I SWEAR TO MASELF KAMA MMEWEZA KUSOMA HIYO MICHORO YA KICHINA!! BASI HIZO DEGREE ZENU NAZI UPGRADE TO MASTERS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...