Mtu mmoja ambae hakuweza kujaaliwa jina lake mara moja  amenusurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T928 BQD kupinduka baada ya kulikwepa basi la Shabiby jirani na Ukumbi wa Bunge, Manispaa ya Dodoma
asubuhi hii. Picha na Mdau Abdulaziz,Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Speed tu hizo sizizo na mpango.Mitaa hiyo kwa dereva makini hawezi kutembea zaidi ya KM25-30/saa.Kwa mwendo wa KM3O/saa kupindua gari siyo rahisi.

    David V

    ReplyDelete
  2. We David V uwe unasoma maelezo kwanza kabla hujatoa maoni! Umeambiwa alikuwa akilikwepa basi la Shabiby. Inawezekana basi la Shabiby lilivamia lane ya huyo mwenye L/cruiser, hivyo akaamua kulikwepa ili asikutane nalo uso kwa uso. Hii ina maana hata kama jamaa alikuwa ktk mwendokasi uliotaja lazima aataingia mtaroni tu ili kuepusha mauti!
    Nawasilisha

    ReplyDelete
  3. N atairi kipara zinachangia

    ReplyDelete
  4. gari mkweche hilo lazima skruu mmoja ilingoka pamoja na matairi kipara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...