Agosti 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa sana kwa Mtoto Magdalen Christopher baada ya kuhitimu masomo yake ya Elimu ya Chekechea katika shule ya Brookhouse International School iliyopo Morocco jijini Dar es Salaam na mwakani 2013 ataanza darasa la kwanza. Mahafali hayo yalifanyika jana.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...