Habari ankal
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wasafirishaji wa Qatar airways na blog yetu ya jamii kwa kufanikisha kufika mzigo wangu.
Baada ya jitihada za muda mrefu za kufuatilia begi langu, hatimaye jana nimelipata likiwa salama.
Asante wote
mdau Khamisi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...