Hiki ni Kibao kinachoonyesha njia ya Kuelekea Bagamoyo,kilichopo eneo la Msata Mkoani Pwani.
Jamvi la nguvu katika barabara ya Msata - Bagamoyo yenye urefu wa kilometa 65,ambapo mpaka sasa kilometa 35 zimekamilika kabisa kwa kiwango cha lami na kilometa zingine 30 ujenzi unaendelea.
Hapa ndipo kinapoanzia kipande cha vumbi,kupisha sehemu ya ujenzi wa barabara hiyo.
Jamvi likiendelea kutandazwa upande wa kushoto huku upande mwingine ukiendelea kutumika kama kawaida.
vitendea kazi mapumzikoni.
huku mambo yanaendelea.









Waosha vinywa bado tu hawakubali mpaka sasa..kikwete anayaweza basi tu watu na roho zao..miaka ile barabara kama hii ni ndoto...go go tz..nakunahabari ya magufuli nimeisikia kwamba bomoa bomoa yaja moro road..kupisha upanuzi wa mita 200...amesema itakua na njia sita..kwa kweli hii ni habari njeeema kwetu sote.
ReplyDeletesafi sana sasa tutaanza kujenga maeneo hayo maana kuna barabara uhakika wa kufika upo
ReplyDeleteila tu inasikitisha kuwa hakujajengwa njia ya walalahoi watembea kwa miguu na baskeli hapo kuna hatari ya kutokea ajali za mara kwa mara kutokana na watembea kwa miguu na baskeli kutumia barabara hizo.
Great work Mr President, but whether you like it or not, many cant help but see this as too little too late, and it might burn you in the near future. Why didnt you start this spirit at least in your second/third year Sir? Why now? Right now we would have been ahead of many in the region instead of the butt of the joke.
ReplyDeleteNzuri sana.Hawa makandarasi waje eneo la nyuma ya sayansi, kijitonyama wawafundishe kuwa unapokarabati barabara weka alama sahihi kuelekeza njia na si kuweka jiwe na mtu wa kukaa anatukana wanaotaka kupita bila kujua kuna ukarabati wa barabara.
ReplyDeleteHata hivyo naona sasa nguvu tuelekeze kwenye sekta nyingine sasa, kilimo na wakulima wa mjini mmefaidi kitambo sasa.
Ankal,
ReplyDeleteJamaa wanapiga kazi. Nimekuwa nikipita mitaa hiyo mara kadhaa na hapa karibuni wamekuwa wakienda spidi nzuri, japo mvua zilizopita ziliwawekea kigingi kidogo.
Sasa hivi almost nusu ya safari toka Msata mpaka Bagamoyo mjini ni kwenye lami.
Ikikamilika safari zangu za Arusha, Moshi na Tanga nitakuwa napita msata kukwepa adha ya foleni ya Ubungo, mbezi, kimara na daladala za Mlandizi-Ubungo.
tembeatz.blogspot.com
WAMPONDAO KIKWETEEEEEEE LAAAAAAAAAAAAAAANA TU ZA KUCHUKUA WAKE ZA WATU ZINAWATAFUNA NA WAPAMBE WAO
ReplyDeleteZebedayo unasemaje kwa hii?
ReplyDelete"unapokarabati barabara weka alama sahihi kuelekeza njia na si kuweka jiwe na mtu wa kukaa anatukana wanaotaka kupita bila kujua kuna ukarabati wa barabara."
Mdau wa kwanza, unajua waswahili wanasema mgema akisifiwa hulitia tembo maji! Acha watu wampush ili awajibike zaidi. Tusingempush kwa mtindo huo hali ingekuwa mbaya zaidi.
ReplyDeleteasante BABA KIKWETE sina zaidi la kusema
ReplyDeleteAny president would not get credit for building infrastructure alone, but in africa as of today,the administrations gets credits on this,its time to understand that in countries like tanzania the govt is forced to build roads by the countries that provide the aid funds and the rest of other money comes from tax payers,so the president should not get any credit building roads instead u the tax payers should get all the credit. The government needs to embark on creating long term jobs and fix the other branches of economy,fight and eliminate corruption,close loopholes in collecting taxes, stop theft of govt money and assets
ReplyDeleteWell said
Delete