Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Salaaale!! Chenji si imerudi juzi tu hapa? huu mtambo kazikwa mtu nini?
ReplyDeleteTunaomba tuone ushahidi kuwa routine maitenance ilikuwa inafanywa ipasavyo kama watengenezaji walivyopendekeza.
ReplyDeleteSasa kama uharibifu wa huo mtambo haukuathiri shughuri za usafiri wa anga kwa kuwa mtambo huo ulikuwa ukitumika kama ziada tu ya mtambo wa msingi, je kulikuwa na umuhimu gani wa kuununua huu mtambo wa BAE kwa bei ile ya kufa mtu? Anyway, tunashukuru kwa taarifa hii kuwa mtambo huo sio muhimu kivile...ONYO: hicho kipuli kisije nunuliwa kwa pesa ya chenji za rada.
ReplyDelete
ReplyDeleteHaya sasa DILI nyingine hiyo inatengenezwa.
Wazee wa LAMBALAMBA si mchezo, ni wataalamu ya KUKWAPUA hazina ya Bongo
Hii rada ndio iliyoleta kasheshe?
ReplyDeletedili hii nataka agiza rada engine eeeh tishajua
ReplyDeleteMIYE NASHAURI TUANZE KU-DEVELOP WENYEWE HIZI MILITARY HARDWARE/SOFWARE. NI MPAKA LINI TUTAKUWA OMBA OMBA??? IVI UHURU WA KWELI TUTAUPATA LINI? SIJAONA INIATIVE YEYOTE KWENYE BAJETI YA WIZARA YA ULIZI KWAMBA KWA MFANO KATIKA BAJETI HII ASILIMIA AROBAINI TUNATAKA KU-DEVELOP TEKNOLOJIA KULINDA ANGA YETU KWA THREAT YEYOTE KWA ALTITUDE YEYOTE. NAOGOPA SANA NCHI YETU IKO KATIKA HATARI. WAKATI WOWOTE KAMA WAHESHIMIWA WA MAGHARIBI HAWAJATUFURAHIA WANATUSHUSHIA DRONES.
ReplyDeleteNASIKIA MAREKANI WANA-DEVELOP VIFAA KAMA SIZE MBU LENGO KUKUSANYA DATA KUTOKA KWA WATU MFANO DNA, NA KUZIPELEKA MARAMOJA KATIKA KITUO HUSIKA. HAPO HAPO KUTUMIKA KAMA SILAHA IKIWEZEKANA KWA KU--INJECT SUMU KWENYE MWILI HUSIKA.
SASA NCHI YETU INA JIANDAA VIPI KUKABILIANA NA SHAMBULIZI KAMA HILI?? NAIOMBA SANA SERIKALI ITUMIE VYUO VIKUU VYETU/ TAASISI ZETU KUHUSU VIFAA VYA KULINDA NCHI YETU. MAPROFESA/RESEARCHERS NDIYO WANAO ATTEND CONFERENCES NA WANAONA TEKNOLOJIA MPYA ILIYOGUNDULIWA KWA AJILI YA MATUMIZI, HAPO TUTAWEZA KUICHUKUA NA KUITUMIA KWA MANUFAA YETU.
WAHENGA WANASEMAGA, UKITAKA AMANI JIANDAE KWA VITA. NA KUJIANDA NA VITA NI PAMOJA KUWA UP-TO-DATE KWA VIFAA NA MAMBO MENGINEYO YAHUSUYO ULINZI. TUWE AWARE JINSI YA KUJILINDA NA THREAT YEYOTE.
DRONES ZIKIANZA KUSHUKA SIJUI TUTAZISHUSHAJE???
NILIZUNGUMZA NA MWANAJESHI MMOJA ANAYEENDESHA MAGARI YA KIJESHI, NIKAMUULIZA IVI SIYE TUKIANZA KUSHUSHIWA MISSILES KUTOKA ANGA YA JUU SANA TUNAWEZA KUJIKINGA??? AKASEMA JESHI LETU LIPO KWA AJILI YA KUJILINDA NA NCHI ZA JIRANI. NIKAMWAMBIA BASI TUKO HATARINI WAKATI WOTE. NIKAMWAMBIA CHA KUFANYA HATA KAMA MATAIFA MAKUBWA YANAVIFAA VIZURI, TUJITAHIDI KWA KADRI IWEZEKANAVYO KUHAKIKISHA TUNAJITAHIDI KUHAKIKISHA TUNAWEZA KUJILINDA NA THREAT YEYOTE.
MUUMBA ATULINDE NA HATARI YEYOTE TOKA KWA WASIOTUTAKIA KHERI NA ATUZIDISHIE MORI YA KUZIFANYIA KAZI VIFAA VYETU VYA ULINZI. AMIIN
Jamani ile rada iliyonunuliwa kwa bei yenye ganji kubwa ndio hii iliyoharibika?
ReplyDeleteKwa kumbukumbu za haraka ile rada ilikuwa ni ya kijeshi na sio kwa ajili ya commercial airlines. Pili kama ni nyongeza tu katika kuongoza ndege na sio lazima kwa nini ilipewa kipaumbele namna ile wakati kuna mambo muhimu sana yaliachwa.
Hapa naona tubatengenezwa watanzania kwa ajili ya ilaji mwingine.