Bondia Sande Kizito wa Uganda |
Bondia Sande Kizito katikati akiwa amewasili katika jiji la Dar es salaam usiku huu akitokea Uganda kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauri siku ya Idi pili kushoto ni mwenyeji wake aliyempokea Yasini Abdallah Ustaadh. Picha na www.superdboxingcoach. |
Home
Unlabelled
BONDIA SANDE KIZITO WA UGANDA AWASILI KUMKABILI RAMADHANI SHAURI SIKU YA IDI PILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...