Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...