Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi (kulia) akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani kwa ajili ya mashindano ya BancABC SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano hayo na kuchezeshwa kwa Droo maalum ya kupanga ratiba kamili ya michuano,uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Uongozi wa BancABC na TFF wakiwa wameshikira Kombe kuashira Baraka njema na kutakia mashindano mema ya BancABC SUP8R .Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Hoseah,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani,Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Nchini,Boniphace Nyoni na Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi.
Picha ya Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted Comminications na Kombe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...