Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU watatingisha jukwaa la ALAFIA Festival, mjini Hamburg,Ujerumani siku ya Jumapili 26.8.2012 ,onyesho hilo kubwa la wazi linafanyika katikati ya kitovu cha mji wa Hamburg, eneo la Hamburg-Altona, ambapo patakua na pata shika ya nguo kuchanika.
Ngoma Africa band inashikilia award ya kimataifa " IDA-International Diaspora Award"  (pichani) baada ya kuchaguliwa kuwa bendi bora ya kiafrika inayowakilisha vizuri kimataifa na kuwanasa mamilioni ya washabiki kila kona duniani. Na imetajwa mara nyingi kuwa bendi bora katika  maonyesho mengi ya kimataifa.
Kikosi kazi hicho kinachoongozwa na mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras makunja wa FFU,kwa sasa kinatamba na CD mpaya "Bongo Tambarare" ambayo inasikika katika kambi yao @ 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. FFU naona mnazidi kupiga misele na virungu vyenu

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana, LAZIMA;;nifike Altona kuwaona.
    Proudly Tanzanian,
    from Hamburg

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...