Home
Unlabelled
Hotuba ya Rais wa Rwanda kwa Taifa lake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What a passionate speech Mr Presda! Well done for telling them off. I hope you are truthful. We need a leader like you in my country. Even though you are a dictator.
ReplyDeleteInteresting..., for Kagame to come forward and "selectively" speak out about a private conversion he has had with president Kabila, this is clearly a breach of confidentiality; and to some Kagame will come accross as untrustworth fellow. There must be a more constructive approach to the resolution of the conflict without denigrating the the government of DRC. The regional powers should convene and try to resolve the matter before westerners are allowed into it. The westerners are not there to solve african problems.
ReplyDeleteNaam, Kagame ameshafunguka na hawa jamaa ukishafunguka tu umeisha, kwa kifupi hizi organisation za kimataifa ni utapeli mtupu wanakuja Africa ili kuweka mambo sawa huku kwao ukipingana nao tu wanakumaliza. Ujumbe kama huu awaeleze viongozi wenzake wa Africa labda wnaweza kujipanga upya.
ReplyDeleteNa hawa jamaa hawatokubali hata siku moja mali ya Africa iwe kwa maslahi ya Africa, ndio maana kila siku wanatengeneza silaha nzito ili ukijifanya unaleta tabu tu unatulizwa.
Mdau UK.
Hivi ndivyo wahuni wanavyopandikiza vita Africa na kudhalilisha wasio na hatia.Watoto,wazee ,wanawake n.k
ReplyDeleteWanaona Rwanda inaendelea wanataka kuibomoa.
Nchi tajiri zitakuja jutia hili mda si mrefu kama wataendelea hivi wanavyofanya.
Sasa ataona chamtema kuni..subilini mtaona wenyewe.
ReplyDeletewe need the Truth.
ReplyDeleteu can see seriousness, confidence, and so many words u can mention... this is a kind of man... we need in this country ours
ReplyDeleteWhat about making a federation between Tanzania, Rwanda and Burundi instead of East Africa. It will be a great country having Kageme on board. You need a kind of a dictator to get rid of corruption especially in Tanzania. Here in the west we declare our income every year , corruption is almost not there. Kabila instead of making noise should build the strong arm to protect his boarder and his people.
ReplyDeleteKwanza aeleze kwanini anampa hifadhi Laurent Nkunda. Halafu ana dharau kiasi kwamba hataki kutamka DRC, wala Raisi Kabila. Anasema " I spoke to this leader" badala ya kusema "I spoke to President Kabila of DRC." Mkutano umejaa wanajeshi kibao, bora Tanzania ambapo Raisi huzungumza na wazee wa dsm, raia wa kawaida.
ReplyDeleteSiwezi kushawishika na hizi propaganda za Rais Kagame; haiwezekani...vita ipiganwe Congo DRC kwa miaka na miaka halafu MAJIRANI wote hawajui nani anapeleka silaha kwa Waasi. Eti Rwanda, Burundi, Tanzania, Zambia, Kenya, Uganda WOOOTEE HAWAJUI..!!
ReplyDeleteGive me a break Mr President.
Haka ka NGUCHIRO kanataka kumega sehemu ya ardhi ya Kongo hakana maana hata kidogo.
ReplyDeletekawachana mbele yao kudadadeki!!! hawa wazungu wanatuchezea akili hawa.
ReplyDeletekama ni ICC basi wasichague, kila mwenye kosa awe accountable!!
natoka nje ya mada, wadau mlioko rwanda nauliza hivii, hospitali kuu huko rwanda wana ct scan? na jee viongozi wao wakiumwa wao wanaenda nchi gani kutibiwa?
ReplyDeletemichuzi tafwadhali sana mwezi wa toba huu, naomba usijeruhi hisia zangu kwa kubana hii meseji.
chezea Rwanda wewe jamaa wanapiga shaba hao hawana mchezo ukiwaona nchi ndogooooo wanaweza kuimaliza tanzania kwa siku 3 tu wapo dasalame
ReplyDeletetanzania inajulikana afrika kama ni nchi kibaraka wa marekani na uingereza huku ughaibuni tukikaa na jamaa wa kutoka nchi za east afrika wanasema kuwa sisi ni vibaraka na ukiingia kiundani ni ukweli mtupu
amani ya tanzania inatokana na shindikizo na maguvu ya america na uingereza kutaka kuitumilia tanzania kama kibaraka wa afrika na ndio maana kipindi kile cha mzee mzima mugabe kufanya ukorofi na wazungu basi raisi wetu alikuwa akitumwa sana kupeleka ujumbe kutoka uingereza.
afrika lazima tujisimamie wenyewe sio kusimamiwa
the real men who can stand alone.
Huyu Jamaa anataka Eastern Congo istawalike, wajitenge ili aweze kuchota utajiri wa almasi na madini mengine vizuri,kwa sasa anaiba madini lkn haletewi vizr. Wanaoleta taabu ni wanywaranda waliopo Congo wakipewa msaada na Kagame.Huyu ni mwanajeshi kashazoea Vita, hana maana hata kdg!!
ReplyDelete