Wakati nyimbo nyingi za wasanii wa kizazi kipya zimesheheni hadithi na maudhui ya mapenzi,wapo wengine ambao wanathubutu kuimba tofauti.Hawa wanastahili sifa.Wanathubutu kuwa tofauti kitu ambacho kwa wengine ni kazi nzito. Miongoni mwa wasanii hao ni Nyemo.Wimbo unaitwa Mama na ameuimba maalumu kwa kina mama ambao wanasumbuliwa na saratani ya matiti.Wimbo pia unagusia umuhimu wa kina Mama.
Kupata wimbo BOFYA HAPO: “MAMA”-NYEMO - BongoCelebrity
Wimbo huu naupenda hata kabla sijausikia, kwasababu hata mimi Lucian komba Mama-ngu amekufa kwa saratani ya matiti, Mungu akusikilize wewe kijana unapouimba wimbo huu na kwa huruma yake mwenyezi Mungu akaunyooshe mkono wake wenye huruma awahurumie akina mama zetu ambao wanaisha kila kukicha na homa hii mbaya.
ReplyDelete