Jahazi Modern Taarab chini ya Mfalme Mzee Yusuf watafanya onyesho kubwa na la aina yake
Jumapili 26/8/2012 ndani ya ukumbi wao wa nyumbani, Travertine Hotel Magomeni a.k.a Nou Camp.
Onyesho hilo lililopewa jina la "Usiku wa Sina muda huo" litakuwa ni la kwanza kwa Jahazi ukumbini hapo baada ya mfungo wa Ramadhani.
Kwa mujibu wa Mzee Yusuf, Jahazi watashuka na vionjo vipya kabisa walivyoviandaa kwa mwezi mzima wa mapumziko ya mwezi mtukufu.



Kiingilio Sh.8000 !!
ReplyDeleteKumbe bongo watu wana pesa namna hii?