Hope you get this on time,sorry I didn't inform you about my trip in Spain for a program, I'm presently in Madrid and am having some difficulties here because i misplaced my wallet on my way to the hotel where my money and other valuable things were kept.I want  you to assist me with a loan of 2800 Euros to sort-out my hotel bills and  to get myself back home.

I have spoken to the embassy here but they are not responding to the matter effectively,I will appreciate whatever you can afford to assist me with,I'll Refund the money back to you as soon as i return, let me know if you can be of any help. I don't have a phone where i can be reached. Please let me know immediately.
         Thanks.
Ambassador Begum Karim Taj,
Embassy of Tanzania,
13 Avenue Raymond Poincaré,
75116, Paris,
France.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sorry man, kama ni kweli basi hii ni balaa.kwani huna benki account mpaka ukaweke vitambulisho na pesa pamoja kwanini?basi kama kweli wewe ni balozi wasiliana na kikwete.mdau Iliford.

    ReplyDelete
  2. Kuna Mnigeria yupo bongo anakupigia simu kama umeweka tangazo la kuuza gari kwenye Zoom TZ website halafu anaomba jina lako na email yako. Baadae anafanya mambo kama hayo. Pia kuna software zinatumika katika kutafuta password za email.

    ReplyDelete
  3. Ohhh

    Tutawajibika kurudi kwenye zama za Ujima!

    Maana Teknolojia ina changamoto zake kama hivi.

    Je, itawezekana maisha bila simu, intaneti, Akaunti ya Benki n.k???

    ReplyDelete


  4. Yaani hawa wanigeria wanatufikisha wapi jamani?? yaani wanatuchafulia sana sisi watu weusi hususani Africans. Hata ukisimamisha TAXI haitaki kusimama kisa wanadhani mimi ni mnigeria hii ni kutokana na wizi wao( SCAM) sijui tufanyaje kuondokana na aibu hii

    ReplyDelete
  5. Not only nigerians wako watanzania kibao kwenye mambo haya acha kupakazia wanigeria tu ni kwamba tu wao wako wengi kila nchi lakini ukifanya utafiti watanzania wengi tu wako hivyohivyo watanzania wangapi wamerudishwa nyumbani kwakufeki cheki, wizi wacredit card etc so please usita kuongea hapa as if ni wanigeria tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...